https://tagumtwa-kivenule.blogspot.com/2024/11/chimbuko-na-historia-ya-ukoo-wa-kivenule.html
Hii ni Blog inayomilikiwa na Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI), kwa ajili kuwahabarisha Ndugu na Wanaukoo, taarifa mbalimbali kuhusu Ukoo wa Kivenule. KAUKI ilianzishwa tarehe 18 Desemba 2005 kwenye Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Ukoo wa Kivenule, uliofanyika Kijijini Kidamali, Mkoani Iringa. Shukrani ziwaendee wote walioshiriki kuanzisha KAUKI: Ndugu Faustino Sigatambule Kivenule, Ndugu Christian John Kivenule na Ndugu Adam Alphonce Kivenule.
Ijumaa, 31 Julai 2026
Jumamosi, 27 Juni 2026
RATIBA YA MAZISHI YA MAREH. BERNARD HUSSEIN KIVENULE - MAGUBIKE, IRINGA
RATIBA YA MAZISHI YA MAREH. BERNARD HUSSEIN KIVENULE
MAHALI: MAGUBIKE – IRINGA
TAREHE: JUMATANO 24 JUNI 2026
|
S/N |
MUDA |
TUKIO |
MHUSIKA |
|
1. |
01:00 – 03:30 Asubuhi |
KUWASILI nyumbani kwa Mareh. Bernard Hussein Kivenule – Magubike,
Iringa |
·
Ndugu ·
Waombolezaji |
|
2. |
03:30 – 04:00
|
CHAI Nyumbani |
·
Ndugu ·
Waombelezaji |
|
3. |
04:00 – 06:00 Mchana |
Maandalizi ya Kaburi kwa ajili ya Mazishi |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Familia |
|
4. |
06:00 – 07:00 |
IBADA ya Mazishi ya Mareh. Bernard Hussein Kivenule |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Waombolezaji |
|
5. |
07:00 – 07:30 |
Shughuli za KUAGA Mwili wa Marehemu |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Waombolezaji |
|
6. |
07:30 – 09:00 Alasiri |
MAZISHI |
·
Ndugu wa Marehemu, ·
Jamaa na Marafiki |
|
7. |
10:00 jioni |
CHAKULA |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Waombolezaji |
|
|
MWISHO |
||
RATIBA YA MAZISHI YA MAREH. BERNARD HUSSEIN KIVENULE - JIJINI DAR ES SALAAM
RATIBA YA MAZISHI YA MAREH. BERNARD
HUSSEIN KIVENULE
MAHALI: MATOSA KWA BONDIA – GOBA, DAR ES SALAAM
TAREHE: JUMANNE
- 23 JUNI 2026
|
S/N |
MUDA |
TUKIO |
MHUSIKA |
|
1. |
01:00 – 03:30 Asubuhi |
KUANDAA MWILI wa Mareh. Bernard Hussein Kivenule –
Hospitali ya Lugalo, Dar es Salaam |
·
Ndugu wa Marehemu. ·
Hospitali ya Jeshi – Lugalo, Dar es Salaam |
|
2. |
03:30 – 04:00
|
CHAI Nyumbani |
·
Ndugu na Waombelezaji |
|
3. |
04:00 – 06:00 Mchana |
CHAKULA
Nyumbani |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Waombolezaji Wote ·
Wageni |
|
4. |
06:00 - 07:00
|
Mwili wa Mareh. Bernard Hussein Kivenule KUWASILI
Nyumbani |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Jeshi la Wananchi |
|
5. |
07:00 – 08:30 |
IBADA ya Mazishi ya Mareh. Bernard Hussein Kivenule |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Waombolezaji ·
Baba Mchungaji Masheria |
|
6. |
08:30 – 09:30 |
Shughuli za KUAGA Mwili wa Marehemu |
·
Ndugu wa Marehemu ·
Waombolezaji |
|
7. |
09:30 – 10:00 Jioni |
Safari ya Kuelekea MAGUBIKE – IRINGA |
·
Ndugu wa Marehemu, ·
Jamaa na Marafiki ·
Jeshi la Wananchi |
|
|
MWISHO |
||
Jumatatu, 22 Juni 2026
TANZIA
Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI) kwa niaba ya wanaukoo wa Kivenule, unasikitika kutangaza kifo cha Mzee BERNARD HUSSEIN KIVENULE (MNYAMLAFU) kilichotokea Tarehe 21 JUNI 2026, katika Hospitali ya Jeshi Lugalo - Jijini Dar es Salaam.
Taratibu za Mazishi yanaendelea kufanyika nyumbani kwa watoto marehemu MATOSA kwa BONDIA - GOBA, Jijini Dar es Salaam.
Mzee Bernard Hussein Kivenule atakumbukwa kwa mchango wako mkubwa katika kuipigania KAUKI na Mikutano yote ya Ukoo. Amekuwa mstari wa mbele katika kuhimiza umoja wa ukoo wa Kivenule.
Hakuwahi kukosa kushiriki mikutano ya Ukoo iliyofanyika Kidamali na Magubike na maeneo mengine.
Mwenyezi Mungu ailaze, roho ya marehemu mahali pema peponi.
Bwana Alitoa na Sasa ametwaa Jina lake lihimidiwe. Amina

