Chimbuko la Ukoo = KAUKI

Chimbuko la Ukoo = KAUKI
KAUKI

UMOJA WA UKOO WA KIVENULE (KAUKI)

UMOJA WA UKOO WA KIVENULE (KAUKI)
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA 14 WA KAUKI

Jumatatu, 2 Oktoba 2023

MATUKIO MUHIMU KATIKA PICHA - UMOJA WA UKOO WA KIVENULE - KAUKI

 Ni picha matukio mbalimbali wakati wa Msiba wa Marehemu Stewart Edgar Kivenule. Hapa ni eneo la Mlafu katika Maziko ya Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI). Tarehe 7 Septemba 2023

Picha za Wajukuu wa Sigatambule Kivenule

Picha za Wajukuu wa Sigatambule Kivenule

Mwenyekiti wa Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI), Ndugu Faustino Sigatambule Kivenule

                                                     Picha za Wajukuu wa Sigatambule Kivenule

Mabinti wa Babu Sigatambule na Hussein Kivenule wakiwa na Shangazi yao


Baadhi ya Watoto wa Babu Sigatmbule Kivenule kutoka kushoto, wa pili kulia Mtoto wa Babu Hussein Kivenule na Wajukuu wa Sigatambule

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni