|
RATIBA YA SIKU MOJA YA MKUTANO MKUU WA KAUKI KIDAMALI - IRINGA |
||
|
29 Juni 2024 |
||
|
MUDA |
SHUGHULI/JUKUMU |
MHUSIKA |
|
12.00-01.00 Asubuhi |
Kuamka na Kujiandaa |
Ndugu Wote |
|
01.00-02.00 |
Kifungua Kinywa (Chai/Kahawa) |
Ndugu Wote |
|
02:00-03:00 |
Kujisajili na Kupata Vitambulisho |
Washiriki Wote |
|
03.00–03.15 |
Hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 13 wa KAUKI |
Mwenyekiti wa KAUKI |
|
03.15-03.30 |
Ufunguzi Rasmi wa Mkutano na Mgeni Rasmi |
Mgeni Rasmi |
|
03.30-04.00 |
Utambulisho wa Ndugu na Wageni Waalikuwa |
Washiriki Wote |
|
04.00-05:00 |
Mada: CHIMBUKO NA HISTORIA YA UKOO 1. Washiriki wasambaziwe nakala ya muundo wa
Ukoo na kasha kuujadili na kutoa mawazo yao |
·
Mwakilishi –
Kidamali ·
Mwakilishi - Ilole ·
Washiriki wote |
|
05:00-05:30 |
Pumziko la Chai / Kahawa/Maji |
Washiriki Wote |
|
05.30-07.00 Mchana |
Mada Inaendelea. 2.
Washiriki waijadili mada na kutoa mapendekezo 3. Washiriki waijadili mada na kupendekeza nini
kifanyike kutunza kumbukumbu hizo 4. Washiriki wazijadili njia mbadala za kutunza taarifa
zinazohusiana na ukoo |
Wawezeshaji na Washiriki wote |
|
Majadiliano |
Washiriki wote na Wawezeshaji |
|
|
Majumuisho |
Wawezeshaji |
|
|
07.00-08.00 |
CHAKULA CHA MCHANA |
Washiriki wote |
|
08:00-08:40 |
TAARIFA YA UTENDAJI WA KAUKI: 1. Mipango na Shughuli zilizokusudiwa kufanywa
na KAUKI 2017-2024; 2. Taarifa ya Utendaji kwa Ujumla; 3. Taarifa ya Mahesabu na Fedha; na 4. Mafanikio na Matatizo ya KAUKI 5. Matarajio ya KAUKI 2024/25 6. Changamoto za KAUKI na Namna ya Kukabiliana
nazo |
1. Katibu Mkuu 2. Makamu wa Katibu 3. Mhasibu |
|
08.40 – 09.20 Alasiri |
TAARIFA YA SHUGHULI ZA MAENDELEO KATIKA KANDA 1. HAMASA 2. CHANGAMOTO 3. MIKAKATI 4. MAFANIKIO |
·
Viongozi wa Kanda zote ·
Ndugu toka Kanda Husika |
|
9:20 – 9:45 |
HALI YA UKOO/KAUKI Kujadili Mapungufu, Kutoa Ushauri, Mapendekezo |
·
Katibu Mkuu ·
Katibu Msaidizi ·
Washiriki wote |
|
09:45-10:00 |
Salaam mbalimbali kutoka kwa Washiriki wa Mkutano Mkuu (Wastani watu 6
na dakika @ 5) |
Washiriki wa
Mkutano |
|
10.00-10:30 Jioni |
Uzoefu wa wanaukoo katika shughuli za
maendeleo 1.
Kidamali/Magubike: Kilimo cha Nyanya /Tumbaku na shughuli
nyingine za kiuchumi dakika 25 2. Ilole/Nduli/Kigonzile/Mgongo: Uzoefu wa Shughuli za Kiuchumi dakika 25 3.
Dar/ Morogoro/ Kilombero / Dodoma/Mafinga dakika 5 4. Maeneo Mengine |
Washiriki wote; viongozi wa Kanda au wajumbe watakaochaguliwa kutoa
uzoefu wa shughuli hizo za kiuchumi |
|
10.30-10:35 |
Kutaja Tarehe ya Mkutano Mwingine wa KAUKI Kuahirisha Mkutano |
|
|
10.35-10.45 |
KUAHIRISHA MKUTANO |
Viongozi wa Dini Kiongozi wa KAUKI |
|
Mapumziko : Chai/Kahawa/Maji na Vinywaji |
Washiriki wote |
|
|
30 Juni 2024 |
||
|
MUDA |
SHUGHULI/JUKUMU |
MHUSIKA |
|
12.00-02.00 Asubuhi |
Kuamka na Kuhudhuria Ibada (Kanisani) |
Ndugu Wote wa Dhehebu la Kikristo |
|
02.00-03.00 |
Kifungua Kinywa (Chai/Kahawa) |
Ndugu Wote |
|
03:00-03:30 |
Kujisajili na Kupata Vitambulisho |
Washiriki Wote |
|
03.30–04.15 |
MADA: |
Mtoa Mada |
|
04.15-04.30 |
Mjadala Kuhusiana na Mada |
Wote |
|
04.30-05.30 |
MADA: |
Mtoa Mada |
|
05.30-06:30 Mchana |
MADA: |
Mtoa Mada |
|
06.30-07.20 |
YATOKANAYO NA MKUTANO MKUU 1.
Maazimio ya Mkutano Mkuu wa 13 wa KAUKI 2.
Mipango na Mikakati ya KAUKI 3.
Tarehe ya Mkutano Mkuu wa 14 wa KAUKI |
Viongozi Wanaukoo |
|
Majadiliano |
Washiriki wote na Wawezeshaji |
|
|
Majumuisho |
Wawezeshaji |
|
|
07.20-07.40 |
SALAAM TOKA KANDA MBALIMBALI |
Washiriki wote |
|
07:40-08:00 |
SALA KUFUNGA MKUTANO |
Viongozi wa Dini Viongozi wa Ukoo |

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni