KAUKI YAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI
Umoja wa Ukoo wa Kivenule (KAUKI) umefanya Uchaguzi wa
Viongozi wake. Uchaguzi huu umefanyika leo Kidamali, Iringa wakati wa Mkutano
Mkuu wa 13 wa Ukoo.
Uchaguzi huo umehusisha uchaguzi wa Mwenyekiti wa
Ukoo, Makamu wa Mwenyekiti wa Ukoo, Katibu Mkuu wa Ukoo, Makamu wake, Mweka Hazina
na Walezi wa KAUKI.
Waliochaguliwa
kushika nyadhifa hizo ni pamoja na:
1.
Ndugu Onesmo Bernard
Kivenule aliyechaguliwa
kuwa Mwenyekiti wa Ukoo
2.
Bi. Gloria Xavery Kivenule ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa Ukoo
3.
Ndugu Adam Alphonce Kivenule aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Ukoo,
4.
Ndugu Christian John
Kivenule aliyechaguliwa
kuwa Katibu Msaidizi
5.
Ndugu Lesandu Peter Mhapa aliyechaguliwa kuwa Mweka Hazina wa Ukoo; na:
Waliochaguliwa kuwa Walezi wa Ukoo Ukoo wa
6.
Ndugu
Faustino
Sigatambule Kivenule
7.
Ndugu Vitus Nzala na
8.
Bi. Irene
Kivenule Kivenule.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni